Surveyed plots in Kigamboni Dar es salaam

Surveyed plots in Kigamboni Dar es salaam

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
I have three project.
One is located at Kimbiji kwa chale 45 kms from ferry the second is at puna 48 kms from ferry both are on the ocean side within 1.5kms while some plots are beach plots.

The third is at Potea muhimbili the land side 47 kms from ferry and 9 kms from Nyati cement factory.

Electric line is already implace.

The price range from Tzs 10, 000 to 50, 000 per SQM.

You can contact via +255 714227532.
You also request to contact through that phone number for any clarification you will need cause I'm some time work on limited internet service area.

Thanks
 
1.5km from Beach, how much per sq meter?
kama unaao mchoro wa viwanja please share.Asante
 
Hembu tupe bei ya Beach plot kwa maana ya Seafront Plot kwa square meter
Aisee pole sana sikupata kuingia humu tena.
Ndio maana niliweka namba za simu....so far bado viwanja vipo japo vichache sasa.
Beach plots ni 40000 to 50000 kwa sqm
 
1.5km from Beach, how much per sq meter?
kama unaao mchoro wa viwanja please share.Asante
Dah sijaingia muda sana humu ndani.
Viwanja vado vipo japo vimepungua sasa.
Ila 1.5 km kutoka beach ni around 12000 tzs kwa sqm
 
Ninaweza kupata Kiwanja karibu na Sophia Simba upande wa bahari? Sqm 1200 budget 20m.
 
Sofia simba yuko hapa kimbiji nazani...mimi vyangu ni Puna karibu na mwaarabu wa lake oil na huyo yeye ashajenga tayari na ndiye aliyetusaidia umeme kufika eneo
 
Mkuu unasema eneo lile ambalo Sophia simba kajenga aptmnts panaitwa amani gomvu
Ila upande wa beach Mita kama 100 hivi kwenda baharini kuna hotel ya changani beach kuna jamaa yangu alikuwa na viwanja vingi sana alivipima na akawa anauza...sijui kama vimebaki au LA viwanja hiyo viko karibu na airborne(kuna uwanja wa ndege wa kizushi)

Yes ni hapo alipojenga apartments,nlikuwa nataka karibu na baharini,niulizie Kama bado vipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom