Matikiti ya Kijani Yanauzwa

little hulk

JF-Expert Member
Jun 20, 2014
1,610
556
Wapendwa zao la Tikiti nategemea kulivuna wiki ijayo mnakaribishwa kutoa order

contact:
0716 727 741
 
Ujasiliamali wa hivi huwezi kufanikiwa kwa muda muafaka. Matiki ya kijani? Aina gani ni stone mellon, honey melon au ya aina gani?

Shambani kwako ni wapi? Unataka watu waje huko au unauzia wapi?

Next time jitahid kueleza vzr na kapicha sio mbaya
 
Nimekuelewa mkuu
Shamba lipo Kibiti, Unaweza ukaja au nikakuletea
10406599_10201343280301873_7446236467248367418_n.jpg
12662472_10201343280541879_7362273906122838995_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom