Kama unahitaji nyumba, viwanja,
magari, vyumba, frem za
maduka, nyumba za stoo(Godown) n.k.
ndani ya jiji la Arusha wasiliana
nasi kwa 0767287941
Kwa sasa tuna:
1.Nyumba yenye vyumba vinne
4, master 2, vya kawaida 2, choo
ya public, jiko, dinning room,
sitting room,
jiko na stoo vya nje.
Nyumba ya nje yenye chumba na sebule. Uzio mita 500 toka barabara ya lami(Old Moshi Road jirani na Club D.
. Iko mtaa wa Moshono,Maji ya kumwaga(INAPANGISHWA).
2.Nyumba ya kisasa Moshono. Ina maji
na umeme, vyumba vi3(masta 2),Full tiled,
Inauzwa(Milioni 90),
Mita 800 kutoka barabarani.
3.Kiwanja kiko Sakina,Arusha meat
Ukubwa 40/20,Tittle deed,
Kilometa moja kutoka lami.
4.Kiwanja 35 kwa 70. Kipo
Kisongo,Arusha(Milioni 5).
KARIBUNI WOTE.
0767287941