Mtaalamu wa uandikishaji wa dawa za mifugo anahitajika haraka

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,404
24,987
Habari wanabodi.

Kama inavyosomeka hapo juu anahitajika mtaalamu/daktari au consultation personnel anayefahamu kuhusiana na madawa ya mifugo.

Kuna kampuni ya dawa za mifugo ipo mbioni kufunguliwa hivyo mtu huyu ni muhimu sana katika kushauri dawa zipi za kusajili hapa nchini kwani hii kampuni itakuwa branch ya kampuni kubwa iliyopo nje ya nchi.



Tafadhali kama unahusika moja kwa moja au unaweza kuniunganisha na muhusika naomba tuwasiliane PM.

Natanguliza shukrani.

 
Back
Top Bottom