tunauza pc 20 za milango ya security doors ya chuma, hauitaji kununua milango ya chuma na mbao pamoja,Ni milango ya kisasa zaidi ,na mizuri sana, kwa mawasiliano contact whatsaap 0713 95 92 90 or...
habari wa JF leo nimekuja na biashara nauza blog yangu adress yake ni hii www.swahili-news.com imetembelewa na watu zaidi ya 25000 bei ni poa Tsh 45000 imeshatengenezwa muonekano bomba wasiliana...
Hello guys,
Tafadhari kuweni makini Sana, kuna jamaa hua ana post bidhaa za Electronics kama Laptops na Mobile phone's za aina tofauti tofauti na kutangaza kuziuza kwa bei chee.
Anasema yupo hua...
Habari yenu JF members,
Tunatafuta wateja wa jumla wa samaki wabichi aina ya sato na sangara kutoka Mwanza. Sangara wanaukubwa wa kuanzia 50cm na Sato 25cm.Sangara 1kg pamoja na usafiri Tshs 6000...
wadau ninauza automatic change over switch ya generator yenye dimensions zifuatazo
height:60cm,width:50cm,length:20cm
specification za umeme:
current:125A
voltage:220VAC~380VAC
contactor...
Nyumba ni ya Vyumba vitatu, Kimoja master, Jiko pia lipo.. maji yapo ya kutosha na tank kubwa za maji, maji mpaka ndani, uzio mzuri na parking ya kutosha bei ni 650,000 kwa mwezi, wasiliana nami...
Habari zenu wana jamii forum?
Kwa wale wapenzi wote wa Riwaya za marehemu BEN R. MTOBWA, tayari mzigo wa MTAMBO WA MAUTI & TUTARUDI NA ROHO ZETU? UPO TAYARI.
Kwa sasa, vinapatikana vitabu aina...
Ndugu wateja karibuni kwa tofali BORA NA IMARA za kokoto nyeusi za Msolwa.
Zimetengenezwa kwa FORMULA maalum kuhakiki UBORA, kokoto ngumu, cement bora, maji yasio na chumvi, artificial hardeners...