mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
....mwenye kufahamu bei za mabasi aina ya yutong atupatie maelezo.
mkuu nashukuru ila hakuna bei kwenye website....tutafutie yenye bei..Contact them here....
Straight from the horses mouth
mkuu nashukuru ila hakuna bei kwenye website....tutafutie yenye bei..
Kiswahili hiki cha nchi hii kweli au nchi za njeJamani nahiji Ushauri nina wazo lakununua basi ila sijuwi nihiwe mkowa au fasi gani wanapo angahika Na usafiri na kwenye akuna mabasi thanks
Huyo labda ni Mwalimu wa somo la kiswahili!Kiswahili hiki cha nchi hii kweli au nchi za nje
Mnyamkole huyo fasi ya GinjaKiswahili hiki cha nchi hii kweli au nchi za nje
jaribu kuandika vizuri mkuu ili upate ushauli mzuri