Nauza shamba, lipo Kisanga, Kisarawe

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
818
536
habari zenu wakuu, nauza shamba langu lipo Kisarawe katika kijiji cha Kisanga, lina Ekari 8. Lina rutuba ya kutosha kwani cjalilima muda mrefu. Walioseriously wanicheki 0714888689.
 
lina hati ya kijiji mwisho wa mwezi huu MUNGU akijalia ntaweka mawe nauza 15milion
 
habari zenu wakuu, nauza shamba langu lipo Kisarawe katika kijiji cha Kisanga, lina Ekari 8. Lina rutuba ya kutosha kwani cjalilima muda mrefu. Walioseriously wanicheki 0714888689.
Sawa.Peleka tangazo lako pia zoomtanzania.com,una uhahakika mkubwa wa kuliuza.
 
habari zenu wakuu, nauza shamba langu lipo Kisarawe katika kijiji cha Kisanga, lina Ekari 8. Lina rutuba ya kutosha kwani cjalilima muda mrefu. Walioseriously wanicheki 0714888689.

Una kazi gani? Mwalimu au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom