Natafuta soko la samaki wabichi Sangara na Sato

Joined
Jul 18, 2012
Posts
69
Reaction score
25
Habari yenu JF members,
Tunatafuta wateja wa jumla wa samaki wabichi aina ya sato na sangara kutoka Mwanza. Sangara wanaukubwa wa kuanzia 50cm na Sato 25cm.Sangara 1kg pamoja na usafiri Tshs 6000 bila usafiri 1kg inaanzia Tshs 5200, Sato 1kg inaanzia Tshs.7000 pamoja na usafiri bila usafiri 1kg inaanzia Tshs.6000. Bei hizo ni kwa mteja atakayeweka oda kuanzia 1kg mpaka 200kg. Pia tunatoa na hudumu ya kusafirisha mzigo wa samaki mpaka mahali mteja alipo ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania pia kama mteja atapenda.Kwa maelezo zaidi mteja anaweza kuwasiliana na mimi kupitia no.0759302697 au 0784168848
Natanguliza shukrani zangu kwa wote mliosoma tangazo hili,karibuni sana tuwahudumie.
 
Mkuu mbona soko kubwa Sana,utafanya Sana biashara!
Uahauri tu ungefungua kituo chako/butcher ya kuuza samaki hao
 
Nadhani ni wazo zuri sana ungejaribu kucheki na supermarkets kubwa pia nadhani wanaweza kuwa wateja wako wazuri
 
tunapokea oda kuanzia kilo 50 mpaka tonne 1,mzigo utalipiwa na mteja baada ya mteja kuupokea na kuupima.
 
Habari yenu JF members,
Tunatafuta wateja wa jumla wa samaki wabichi aina ya sato na sangara kutoka Mwanza. Sangara wanaukubwa wa kuanzia 50cm na Sato 25cm.Sangara 1kg pamoja na usafiri Tshs 6000 bila usafiri 1kg inaanzia Tshs 5200, Sato 1kg inaanzia Tshs.7000 pamoja na usafiri bila usafiri 1kg inaanzia Tshs.6000. Bei hizo ni kwa mteja atakayeweka oda kuanzia 1kg mpaka 200kg. Pia tunatoa na hudumu ya kusafirisha mzigo wa samaki mpaka mahali mteja alipo ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania pia kama mteja atapenda.Kwa maelezo zaidi mteja anaweza kuwasiliana na mimi kupitia no.0759302697 au 0784168848
Natanguliza shukrani zangu kwa wote mliosoma tangazo hili,karibuni sana tuwahudumie.
NIMEKUSAIDIA KUTANGAZA BIASHARA YAKO KATIKA PAGE YANGU ANGALIA HAPA CHINI
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=459218230948721&id=212209012316312
 
Dah i wish nifanye hii biashara ni idea niliyo nayo kichwani cku mingu sana sema capital inazngua sana
#keep on going biashara nzuri sana hyo mkuu
 
Back
Top Bottom