Ahsante kwa feedback yako ila nafikiri hauna uhakika na unachokiongea.Kupatana Ads ni tatu tu,Mwanza mbili na Dar moja.Dar ni sababu the phone can move from Mwanza to Dar just incase there happens to be acustomer located there.Ukienda kupatana.com amejaza matangazo kibao
Location yake hata haieleki mara kapost ads yuko mwanza, arusha, tanga......n japo sijawhi nunua kitu jamaa inaonesha chembe za kitapeli hivi..
Sent from mTalk