kaka njoo Pm tuongee vizuriOk taipiga nikutumie ila iko moshi.
Boxer unalowana lkn gari unakua ndaniGari gani unanunua kwa mil. 2, ni akheri nikanunue boxer mpya.
Gari ya mil.2 inaonekana inahitaji matengenezo ya zaidi ya pesa uliyogharamia kuinunulia.Boxer unalowana lkn gari unakua ndani
Ntumie pichA na specifications zake 0656622113Me ninayo gx 100 namba B..nauza 3.5mil.. Ndo natembelea Yaani.. Ukichukua Ni kuongeza mwarabu wako then safari... Unaenda nalo popote Tanzania, Tairi Mbichi Kabisa.
Me ninayo gx 100 namba B..nauza 3.5mil.. Ndo natembelea Yaani.. Ukichukua Ni kuongeza mwarabu wako then safari... Unaenda nalo popote Tanzania, Tairi Mbichi Kabisa.
Me ninayo gx 100 namba B..nauza 3.5mil.. Ndo natembelea Yaani.. Ukichukua Ni kuongeza mwarabu wako then safari... Unaenda nalo popote Tanzania, Tairi Mbichi Kabisa.