Ina Hu Member Apr 13, 2012 47 18 Jan 29, 2016 #1 Manufacturer: Halmatic Model: Pacific 22 Engine: 150HP Yanmar RIB: 22fts = 6.5m Condition: used Price: negotiations Available: 3
Manufacturer: Halmatic Model: Pacific 22 Engine: 150HP Yanmar RIB: 22fts = 6.5m Condition: used Price: negotiations Available: 3
Jongwe JF-Expert Member Apr 25, 2008 1,040 662 Jan 31, 2016 #6 Hivi hizi boat zinahitaji kuwa registered TRA pia?
Ina Hu Member Apr 13, 2012 47 18 Feb 2, 2016 Thread starter #7 Jongwe said: Hivi hizi boat zinahitaji kuwa registered TRA pia? Click to expand... It should be so, unaweza ulizia tra kiongozi
Jongwe said: Hivi hizi boat zinahitaji kuwa registered TRA pia? Click to expand... It should be so, unaweza ulizia tra kiongozi
Ina Hu Member Apr 13, 2012 47 18 Feb 2, 2016 Thread starter #8 Abra One said: Cylinder ngapi mkuu? Click to expand... Four cylinders
M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 Feb 2, 2016 #9 Bei poa sana lakin mbona picha haziko clear
Mnyabwilo JF-Expert Member May 7, 2013 720 255 Feb 2, 2016 #10 Vipi nafika nayo zanzibar hiyo aiseeee
Ina Hu Member Apr 13, 2012 47 18 Feb 9, 2016 Thread starter #11 Mnyabwilo said: Vipi nafika nayo zanzibar hiyo aiseeee Click to expand... Inafika mkuu hiyo ni high speed ulikuwa ni ya patrol kwenye utafiti wa gas na mafuta Dsm Zanzibar ni muda mfupi
Mnyabwilo said: Vipi nafika nayo zanzibar hiyo aiseeee Click to expand... Inafika mkuu hiyo ni high speed ulikuwa ni ya patrol kwenye utafiti wa gas na mafuta Dsm Zanzibar ni muda mfupi
Ina Hu Member Apr 13, 2012 47 18 Feb 9, 2016 Thread starter #12 mwenyeKitu said: Bei poa sana lakin mbona picha haziko clear Click to expand... Hizo kama uko serious inatakiwa uje kuziona
mwenyeKitu said: Bei poa sana lakin mbona picha haziko clear Click to expand... Hizo kama uko serious inatakiwa uje kuziona
Ina Hu Member Apr 13, 2012 47 18 Feb 10, 2016 Thread starter #14 The Boss said: weka price basi Click to expand... Ni ya kubid lakini around 20,000,000TZS kwa kila moja
The Boss said: weka price basi Click to expand... Ni ya kubid lakini around 20,000,000TZS kwa kila moja