Ofa kwa wanaojishughulisha na sherehe

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
712
Habari wanaJF, natoa ofa kwa watu wanaojishulisha na mambo ya sherehe kama mc,mapambo,mavaz,mapishi,saloon,kadi,ukumbi,usafiri n.k. Natoa ofa kwa kuwatangazia kwenye website bure ndani ya miezi mitatu kabla ya kuanza kulipia huduma hii ya matangazo, kinachotakiwa ni kutumia wadhifa wako na kazi zako ulizozfanya kama mc,mapambo n.k. Nitumie PM
 
Back
Top Bottom