IPhone ni moja ya gadgets maarufu katika soko. Hii imethibitishwa na mauzo kuongezeka na pia ubora wa bidhaa kua maintained. pia IPhone inazidi kua maarufu kutokana na perfomance na pia heshma...
Ni wale wale wauzaji wakubwa wa vitu mtandaoni barani Africa wanakuletea ofa kabambe ya March ndani ya Tanzania. Ni punguzo kubwa katika vitu mbali mbali tembelea www.jumia.co.tz upate punguzo...
Habari wakuu
Nna shida ni hivyo vitu viwili na budget yangu ni kama ifuatavyo
Ps2...120k
Flat tv...150k (iwe na hdmi port)
Kama una yoyote kati ya hivyo unakaribishwa
Nnaweza ongeza pesa kidogo...
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa...
Nauza account za adsense hosted and non hosted,pia ninatoa huduma za kuifanya blog yako iweze kuindex kwenye search engines kwa haraka zaidi.
Pia tunauza templates ambazo ukiweka kwenye blog yako...
Lipo Kimazichana (mbele ya Mkuranga), Km 1 kutoka main road.
Lina miembe kadhaa na jengo la vyumba vitatu ambalo halijakamilika.
Bei milioni 40 tu..maongezi yanakaribishwa.
☎ 0628403078
Kwa anayetafuta ajira au kipato cha ziada.
Kampuni ya Four Corners Alliance Group inakupa fursa ya kuanzisha biashara yako kwa mtaji wa tsh 40,000 tu.
Mafunzo yanatolewa bure.
Kwa mawasiliano piga...
Kina ukubwa wa mita 23 upana na mita 38 urefu.Huduma zote maji na umeme zipo.Kipo sehemu nzuri yenye usalama wa kutosha.Hakijapimwa,jinsi ya kufika:ukitokea Bagamoyo Road maeneo ya Mbuyuni...
naita suzuki swift namba hiwe C au vitz new model bei 5.5mill
na pia naitaji vitz old model namba B bei 4.5mill
ziwe Dar Es Salaam
Simu 0712690760 au 0755984282
GARI CRESTA GX100 IPO VIZURI NA KULIPIWA VIBALI VYOTE TAYARI KWA MATUMIZI ..KWA ALIYE TAYARI SERIOUS CUSTOMERS ANICHEK HEWANI 0717 659 926 ..LOCATION NI DAR ES SALAAM ..KARIBU, BEI NI 4.5 MIL
Ndugu wadau naomba niwaleteeni habari njema,juu ya ujenzi bora wa majengo yenu kwa kutumia bidhaa bora za aluminum, stanless steel na vioo kutoka CADASP. Sisi ni class one company ktk kusupply...