Mmiliki wa nyumba, QS, Architects, Contractors & Mech Engineers tukutane hapa!

Mkalibari

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
659
396
Ndugu wadau naomba niwaleteeni habari njema,juu ya ujenzi bora wa majengo yenu kwa kutumia bidhaa bora za aluminum, stanless steel na vioo kutoka CADASP. Sisi ni class one company ktk kusupply materials hizi na zina standard ya kipekee.

Soma hii:-

CADASP TANZANIA LIMITED was established in June 6, 1997. It is one of the first of several companies in Tanzania that dealing with aluminum glazing products.

At that time, CADASP was only a small glass shop, after 14 years of unremitting efforts, now we have become to the most powerful local aluminum glazing manufacturer and in 2003 we successfully registered with CRB as SPECIAL CONTRACTOR CLASS ONE in the field of ALUMINUM & GLAZING.

More honored, we are the only company in Tanzania Area who can produce all kinds of special glass, like tempered glass, laminated glass, double glass etc.

So far, our products have expanded into the following main parts.

First: all kinds of ordinary glass and special glass in the wholesale and retail (ordinary clear glass, color glass, one way glass, mirrors and special glass, like laminated glass, toughed glass, insulated glass, etc.).

Second; all kinds of aluminum glazing products (curtain wall, sliding window, top hung window, arch windows, opening door, swing door, folding doors, sliding doors, aluminum partitions, cabinet, etc.);

Third: Stainless Steel stair handrails and balcony.

Baadhi ya kazi zetu.
C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

WINDOWS IN EDUCATIONAL SCHOOL
C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

WINDOWS IN GEPF PROJECT
C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

WINDOWS IN KILWA ROAD POLICE PROJECT

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

WINDOWS IN EXAMINATION COUNCIL OF TANZANIA

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

CURTAIN WALLS IN DODOMA UNIVERSITY

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

WINDOWS IN LOCAL GOVERNMENT TRAINING INSTITUTE –HOMBOLO
C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

PARTITION IN LOCAL GOVERNMENT TRAINING INSTITUTE –HOMBOLO

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

CURTAIN WALL RENOVATION FOR QUaLITY PLAZA

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\dell\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

Stainless steel

NB:
Tuna the best aluminum profile ambazo ni heavy duties na standard (kushinda hizi zilizoja sokoni hasa kariakoo kwani yale mengi ni maplastiki au vyuma laini sana.

Tunafanya lamination of glasses, tunatengeneza bullet proofs hasa kwaajili ya security nyumbani na mabenki, tunatengeza sound proof (glaizing glasses).

Pia tunafanya kwa watu wenye nyumba ndogo au ya kawaida lakini pia kwa projects kuubwa kabisa.

Kwa kuwa tuna kiwanda hapa Tanzania, basi tunafanya huduma zetu kwa gharama nafuu sana na zinazungumzika.

Nakukaribisha tukuhudumie...
Ni-PM au 0758009876
 
mkuu mna website? Unajua tena ulimwengu wa dijitali! Na kama unavyojua biashara ni matangazo......

Tuanzie hapo! Maana nchi yetu figisu figisu zimekuwa nyingi mno!
 
mkuu mna website? Unajua tena ulimwengu wa dijitali! Na kama unavyojua biashara ni matangazo......

Tuanzie hapo! Maana nchi yetu figisu figisu zimekuwa nyingi mno!
Kweli kaka, siku hizi figisu ni nyingi sana hapa town....

Pia nikushauri kua kuna watu wana websites lakini bado issues zao ni figisu tupu, kwahyo usitegemee sana mamitandao haya!

Kama vipi, kama uko hapa dar tenga muda wako walau dk5 uje kwenye kiwanda chetu hapa ujionee kazi zinqvyofanyika na utajibiwa doubts zote ulizo nazo (contact me 075800976).

Website yetu ni:
www.cadasp.com
Karibu sana mkuu
 
Back
Top Bottom