butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,624
- 7,907
Kina ukubwa wa mita 23 upana na mita 38 urefu.Huduma zote maji na umeme zipo.Kipo sehemu nzuri yenye usalama wa kutosha.Hakijapimwa,jinsi ya kufika:ukitokea Bagamoyo Road maeneo ya Mbuyuni unachukua barabara ya Mboma Road(Lami),utatembea mwendo wa kama 1 km mkono wa kulia utaona supermarket inaitwa highway iko mtaa wa magwaza(kuna mradi wa bomba jipya la maji),fuata hiyo njia.
Bei:100 milioni
Cont:0754856277
Bei:100 milioni
Cont:0754856277