kuchkuch hotahe
Member
- Jan 26, 2012
- 60
- 124
Jaman habar zenu nipo seriouz natafuta wauzaji wa maziwa kwa bei ya jumla, iwe ni kutoka mkuranga au rufiji nsaidien jaman.
unanua bei gani?Jaman habar zenu nipo seriouz natafuta wauzaji wa maziwa kwa bei ya jumla, iwe ni kutoka mkuranga au rufiji nsaidien jaman.
Jaman habar zenu nipo seriouz natafuta wauzaji wa maziwa kwa bei ya jumla, iwe ni kutoka mkuranga au rufiji nsaidien jaman.
Hata mm natafuta ila naomba mtu ataje bei sio mm ndio ninayetafuta nitaje bei.ushapata tayar mtu wa kukuuzia?
Mimi ni supplier wa maziwa. Lita moja nauza Tsh. 2,000/=. Karibu!Hata mm natafuta ila naomba mtu ataje bei sio mm ndio ninayetafuta nitaje bei.
Kama bado unahitaji maziwa, tuwasiliane.Jaman habar zenu nipo seriouz natafuta wauzaji wa maziwa kwa bei ya jumla, iwe ni kutoka mkuranga au rufiji nsaidien jaman.