Niuzie TV au Ps2

john hotsam da1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
396
78
Habari wakuu
Nna shida ni hivyo vitu viwili na budget yangu ni kama ifuatavyo
Ps2...120k
Flat tv...150k (iwe na hdmi port)
Kama una yoyote kati ya hivyo unakaribishwa
Nnaweza ongeza pesa kidogo kutegemea na ubora wa mali
Niko Dar
 
Hiyo flat tv yenye hdmi port kwa 150k itakuwa nch 9 labda au mchina
 
Back
Top Bottom