mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
IPhone ni moja ya gadgets maarufu katika soko. Hii imethibitishwa na mauzo kuongezeka na pia ubora wa bidhaa kua maintained. pia IPhone inazidi kua maarufu kutokana na perfomance na pia heshma anayopata mtumiaji wa sim hii. Apple wameitengeneza iphone ikiambatana na several apps ambazo zitakusaidia on your daily basis. IPhone mpya kawaida gharama karibu $ 699. inaweza kuonekana kidogo ghali, lakini watu wengi huamini kuwa thamani ya fedha na bidhaa wanayopata vinaendana. Kutokana na hili basi hata wazalishaji wa sim fake kutumia mgongo wa Apple kupitisha bidhaa zao sokoni.
kwa zaidi soma hapa .... techackonline: FAHAMU NA ZITAMBUE TOFAUTI KATI YA IPHONE ORIGINAL NA CLONE
kwa zaidi soma hapa .... techackonline: FAHAMU NA ZITAMBUE TOFAUTI KATI YA IPHONE ORIGINAL NA CLONE