Vitu vinauzwa, bei ni sawa na bure.

Kuna matangazo vitu vidogo vinaharibu, kweli vyombo vichafu unatangaza sasa hapo mfano mie kuna nini kitanifanya nisifikiria hata hayo yaliyo kama mapya ni machafu na yamejaa kunguni juu.

Jifunzeni kutangaza kitu kuvutia watu...
 
uko wapi mkuu utatoa na risiti ya efd?


just jocking
Habari wanaJF,

Vifuatavyo vinauzwa na vyote vipo kwenye hali nzuri, picha hamna kamera, kwahiyo njoo na hela,ukikipenda unachukua:

  • Godoro 5x6 = 50,000 Tshs
  • Feni kubwa ya stendi = 30,000 Tshs
  • Powerbank ya Sumsung (20,000 pmh) = 20,000 Tshs
  • Bluetooth Speaker = 15,000 Tshs
  • Vyombo vya ndani (Masufuria, Masahani, Mabakuli, Vijiko, Ndoo, Chupa, Hotpots, Diaba, Mabeseni n.k. Note: vingi havijaoshwa) = 50,000 Tshs
  • Kapeti (Zimechanwa kufit vyumba viwili vya 12x12) = 30,000 Tshs
  • Pazia 3 = 20,000 Tshs
Call 0692 021670 kama unataka kununua tu.
 
Mhh,mapenzi mabaya..ndio kakuudhi kiasi hicho?
Pole mkuu,potelea merelani ukirudi na madini asikusogelee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom