Jenereta Honda FA 2500. KVA 2.2

jokielias

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,203
359
GENERETA MPYA ZA KISASA AINA YA HONDA FA2500 ZINAUZWA. INA NGUVU YA K.V 2.2, INA WASHA FRIJI, TAA ZA AINA ZOTE, TV, PASI NA AC. INATUMIA PETROLI. LITA MOJA KWA MASAA MAWILI.

BEI ni MILLION MOJA NA LAKI NNE. (1,400,000)

TEMBELEA OFISI ZETU ZA MSASANI. QUALITY MOTORS LTD.

SIMU-0717-518359. 0689-866100

BARUA PEPE- qml.msasanisales1@qualitygroup.com

generator 2.jpg
generator 3.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Mkuu hamna ndogo zenye uwezo wakuwasha tv receiver redio na taa kama 5 hivi?
 
Back
Top Bottom