Jeans Jeans Jeans

boda

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
341
290
Jamani wapi hapa mjini(DSM) nitapata jeans original ambazo hazichuji, mm Kazi zangu za mizunguko saana kufua fua nimechoka
 
House of jeans kariakoo au kariakoo uku mwanzoni karibu Na kwa wakinga Na underground kule ata hao mwenge wanazilangua huko
 
Back
Top Bottom