Plot4Sale Plot for sale at Kariakoo

Sep 15, 2015
93
10
Plot for sale at Kariakoo market

Size: 250sqm

Price:$700,000/=dollar

Commission for agent is 5%

Title and all document are available.

Call 0754 274 238 for view.
 
Mkuu wenye hela chafu wamekimbiza fedha zao!!
Sio rahisi kupata hiyo fedha tena eti kwa dola !!
Hio ni bei ya nyumba marekani au ulaya.
Hebu google house for sale in New York uone na hii kariakoo yako!!
 
Inawezekana ila nina uhakika sio biashara halali ambayo ukishalipa kodi unabakiwa na fedha unazoweza toa hizo dola 700 000 na ukabaki na za kujenga. Niambie ni biashara gani hiyo mkuu.
 
Mkuu wenye hela chafu wamekimbiza fedha zao!!
Sio rahisi kupata hiyo fedha tena eti kwa dola !!
Hio ni bei ya nyumba marekani au ulaya.
Hebu google house for sale in New York uone na hii kariakoo yako!!
Ha ha ha!! kijana unashangaa pesa kidogo hivyo, kumbuka hiyo ni kariakoo tena ni soko la kimataifa so mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Hapo hata uuze majani ya kulishia ng'ombe yatanunuliwa tu.

Baba yangu mdogo alikuwa ana nyumba k/koo mtaa wa kongo akatangaza kuuza Tsh bilion 1 akijua labda hatopata wateja lakini cha ajabu alitangaza asubuhi jioni wakaja wateja zaidi ya 5 wakitaka kununua nyumba na wote walikuwa na pesa nzuri ila haikufikia anayotaka mzee wangu. wa kwanza alikuja na Tsh 750M, Wa pili mhindi akaja 600M, watatu 800M Lakini wote aliwakatalia.

Kimbembe asubuhi yake magari yalipangishwa foleni utasema kuna mkutano, kuna watu walipanda bei mpaka 1.5BILL ili wajenge hotel. Baadae mzee akahairisha kuuza eneo lake anasema analiweka mpaka lipande bei tena zaidi ya hapo. Siku hiyo ndo nikaamini eneo la kibiashara lenye population kubwa ni mali hasa kariakoo.
 
Mkuu wenye hela chafu wamekimbiza fedha zao!!
Sio rahisi kupata hiyo fedha tena eti kwa dola !!
Hio ni bei ya nyumba marekani au ulaya.
Hebu google house for sale in New York uone na hii kariakoo yako!!
mkuu unajua bei za viwanja kariakoo, masaki, oysterbay!!
bei za viwanja mjini zinaenda mpaka $1.5Mill
 
hahahaha wanaona pesa nyingi basi ujue hao hawajui kutafuta pesa mjini maana hiyo hata katika listi za matajiri wa mjini hata watu laki mmoja bado huwezi ingia

pls kama una muda free njoo nikufundishe jinsi ya kupata pesa mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom