Nakodisha gar Noah, old model noC

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
Wanajamvi, baada ya kuona Gari Noah , ipoipo tu nyumbani naona niitumie kwa kuniingizia kipato kama kuna tija hiyo.
Nimepanga kukodisha kwa shughuli yoyote halali.
Mahali; DSM
Gari; Noah old model no C
Malipo: kwa siku elfu 40,
Mafuta; juu yako
Dereva: juu yangu
Biashara; abiria au parcels ndani ya jiji au mkoani

Simu; 0754734009
 
Hello..nahitaji gari ya kukodi kwa kama siku 10 mpaka 15 ila budget yangu 30.Mafuta juu yangu na dreva
 
bado unahitaji gari ya kokodi? ila Dereva wangu.
 
Back
Top Bottom