Mafundi wa kuezeka nyumba

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,381
Habari zenu wakuu?

Nina rafiki zangu wawili wataalamu wa kuezeka nyumba kwa kutumia bati aina zote na kwa style mteja anayotaka,wanaweza kuezeka hata ghorofa.
Bei zao ni za chini kulingana na bajeti ya mteja,wanapatikana Arusha ila wapo tayari kwenda kufanya kazi sehemu yeyote nchini.
Kwa mfano nyumba ya vyumba vitatu,sebule,dinning,jiko,stoo si zaidi ya millioni moja na kazi itafanyika si zaidi ya siku kumi,endapo mahitaji yote yatakuwa site(materials)

Mawasiliano.
niPM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom