Kwanza Ahsante uongozi wa JF kwa kunikubalia akaunti yangu.
Mimi ni Freelancer Wakala karibia mitandao yote.
Ukiwa na tatizo usihofu tupo kwa ajili yako!
Au utapiga namba 100 kwa msaada zaidi...
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Gari aina ya CARIB inauzwa
Cc 1200
Namba B
Ipo condition nzuri
Bei ni tshs 4 million mpaka million 3.5 mwisho.
Kama upo teyari njoo nafundi wako ahakikishe mwenyewe...
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa mikocheni B karibu na kanisa la Assemblies of God. mawasiliano piga simu namba 0755 092 734 au whatsapp 0754 810 853 bei maelewano
Shamba linauzwa lipo katika Kijiji cha Mtakuja-Kiwangwa.
Lina ukubwa wa Ekari 35.
Lipo umbali wa km 4 kutoka barabara kuu itokayo Bagamoyo -Msata.
Limepandwa mitiki na miembe
Bei ni Tsh milion...
Habari wana jamii forum, Natumain wote mu wazima wa afya.
Kwa wale wote wapenzi wa riwaya za BEN R. MTOBWA, sasa vitabu vya kipelelezi vya JORAM KIANGO vimekufikia. Vitabu vyote vinauzwa kwa bei...
Tunauza viatu hivi vya ngozi.. Ni imara ni ngozi halisi.. 25000/= rejareja na jumla 19000/= kuanzia piece 10.... Poch zimebaki hizi tu, bei ni 45000/= kwa hiyo ya kijivu na 35000/= kwa hiyo...
Ndugu zangu Nina MBAO ngumu Kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane, bei ni nafuu ukichukua MBAO zaidi ya 50 usafiri juu yetu, tutakuletea hadi mahali ulipo kwa wakazi wa Dar tu. Mungu awabariki sana...
Kama tangazo linavyosema ninauza TV aina ya Samsung Inchi 21 ni kama mpya tu na bei ni laki mbili nanusu na mazungumzo yapo.. Nicheki kwneye namba hii 0712220207
P { margin-bottom: 0.08in; }
Tangazo - tangazo
Kiwanja kinauzwa
Kipo Goba wilaya ya Kinondoni Dar es salaam
Kipo karibu kabisa na barabara kuu inayounganisha mbezi ya KImara na Mbezi beach...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.