Injini ya boti inahitajika

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,780
10,710
Wakuu, kwa hapa DSM wapi nitapata injini ya boti (mtumbwi )? Una mdau yuko mkoa kaniuliza, nami sina uzoefu na mambo hayo
 
barabara ya morogoro ukivuka bibi titi huko unapoishia kuna wadosi wenye vi injini vingi si rahisi kukosa, kama zimeisha ukishuka posta mpya asubuhi ukiwaona kina mama wengi wanauza vitafunwa jengo la nyuma yao hapo zipo, ila shida bei!

bei ikisumbua nunua korola mkweche injini yake inasukuma meli ndogo ila kama ni boti ndogo hata ya sanlg inatosha.
 
Bei gani Mura kwa Yamaha 9.9
 
Asante mkuu, mhusika alinipa tip kiwa alisikia maeneo ya kidongo chekundu zipo.
 
Jee za sanlg nisaidie unazifunga vp kwenye boti ili ziweze kufanya kazi?
 
Back
Top Bottom