Nauza asali mbichi

wizykey

Member
Apr 26, 2013
11
0
Asali mbichi nauza ya nyuki wakubwa na wadogo (wasiouma). Bei ni elfu 10 kwa lita kwa nyuki wakubwa, elfu 30 kwa lita kwa nyuki wasiouma.

Napatikana Dar es salaam..

Mawasiliano: 0744342995 / 0659801961
 
Kama unauhakika haujaichanganya na sukari guru tuwasiliane (TESTER)!!!!!
 
Inakuwaje mkuu unaonaje tukiongea nikwa nakuletea asali nzuri kabisa kwa bei ya chini yahapo ili nikuachie faida nzuri maana me kwasasa nafanyia mishe huku mkoan singida na asali inapatikana nzuri hivyo shida yangu niwapi nitaiuza bila usumbufu kama vp tuzungumze 0756888861
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana asali lakini siku hizi napenda chumvi na supu ya utumbo
 
Ha ha ha mpendwa na wewe lol

Halafu hapa nakuesabia 400 x 2 = 800/= kwa siku, then kwa wiki ni 800 x 5 = 4,000/=

Si haba, mimi nitaongeza buku tupate bia moja moja kutoka kwenye hela uliyookoa kwa kutolipa nauli.
 
Halafu hapa nakuesabia 400 x 2 = 800/= kwa siku, then kwa wiki ni 800 x 5 = 4,000/=

Si haba, mimi nitaongeza buku tupate bia moja moja kutoka kwenye hela uliyookoa kwa kutolipa nauli.
Nimeamua kila likizo ntakuwa naitumia kuzurura dar ha ha ha chezea kusafiri bure kama nzi
Kwaheri tusiharibu uzi wa watu, nunua asali ya nyuki wasiouma
 
asali mbichi nauza ya nyuki wakubwa na wadogo (wasiouma)
bei ni elfu 10 kwa lita kwa nyuki wakubwa
elfu 30 kwa lita kwa nyuki wasiouma
napatikana dar es salaam
mawasiliano
0744342995
0659801961
Unapokuwa unafanya biashara mkuu ujaribu kuweka na vinyama kidogo ili uuze,maana umesema Nyuki wakubwa na wadogo sasa watu wa huku mijini hawajui faida na matumizi ya hizo aina mbili za Asali,jiachie kidogo ueleweke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom