Pls call me 0676019019Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta frame ya biashara ya duka maeneo ya mikocheni. Kama itapatikana kati ya arcade na escape 1 au barabara ya rose garden itakuwa vyema zaidi.
Kama kuna mtu anayo ama dalali anayo basi tuwasiliane kwa PM