Wanaopenda viatu vinavyodumu pita hapa

richenriques

Senior Member
Jun 6, 2015
188
33
Sandals hizi zimetengenezwa kwa material tatu tofaut, juu zina material ya rubber na soft leather na soli yake ni material ya tairi za gari kama yale ya kobasi... Ni nzuri na zinadumu mda mrefuu.... Bado zipo kwa 25000/=
cd0b8b379ff1cbc7ccc4cedc5095262e.jpg
e68f7c399c0eb250fe4a3868220fc038.jpg
6b8576c4ada12b133bad043110b6fa54.jpg
7d62d2da41b5463df292965371500656.jpg
 
Viatu hvi vimetengenezwa kwa material tatu tofaut, juu vina material ya rubber na soft leather na soli yake ni material ya tairi za gari kama yale ya kobasi... Ni vizuri na vinadumu mda mrefuu.... Bado vipo kwa 25000/=
cd0b8b379ff1cbc7ccc4cedc5095262e.jpg
e68f7c399c0eb250fe4a3868220fc038.jpg
6b8576c4ada12b133bad043110b6fa54.jpg
7d62d2da41b5463df292965371500656.jpg
Hongera ila mada yako haijakaa sawa. Hivi kiuhalisia sio viatu ni sandals. Au ungemalizia kabisa kwa kuandika viatu vya wazi
 
Contacts haujaweka na unapatikana wapi na wapi,jazia nyama kidogo basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom