Clever Gk Member Aug 13, 2015 39 6 Mar 11, 2016 #1 Jaman naomba kujua line yako ikiwa registered kwenye mfumo wa university offer unaweza jiunga hata nje ya campus??? Na wapi huu usajili unapatikana?
Jaman naomba kujua line yako ikiwa registered kwenye mfumo wa university offer unaweza jiunga hata nje ya campus??? Na wapi huu usajili unapatikana?
Ochumeraa JF-Expert Member May 18, 2015 4,505 5,710 Mar 11, 2016 #2 Usajili unapatikana chuoni,Ndiyo ni kweli namba yako ikishasajiliwa unaweza kujiunga popote