Chumba na sebule savey mwenge kinakodishwa

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Chumba sebule jiko na choo chake maeneo ya savei mwenge kinapangishwa. Dakika 5 toka mliman city. Bei 180, 000/= kwa mwezi na kodi inaitajika ya mwaka. Hakuna dalali. Hakuna parking ila kuna ulinz kwa wanaolaza magar nje. 0682540067
 
Chumba sebule jiko na choo chake maeneo ya savei mwenge kinapangishwa. Dakika 5 toka mliman city. Bei 180 kwa mwaka. Hakuna dalali. Hakuna parking ila kuna ulinz kwa wanaolaza magar nje. 0682540067
180 ndio nini
 
Back
Top Bottom