House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Mbezi Beach

danny audax

Member
Mar 14, 2016
12
0
Nyumba IPO mbezi beach kijogoo 300 meters from Africana Bagamoyo Road
#Legal documents available
#Eneo la kiwanja 400 sqmts
#Inahitaji semifinishing kwasasa ina umeme
#Maji ya dawasco yapo
#Contact the buyer directly @0759059431watsap ; 0714865256
#Price 100 millions Tshs
#Dalali HAITAJIKI
#Legal documents available
IMG_20160309_154546.jpg
 
Kama hutaki dalali basi jiandae kufanyiwa kila aina ya fitna mpaka utaiuza milioni 2 hiyo nyumba
 
#Ina kiwanja 400 sqmts
#Ina vyumba 4
#Semifinished house inahitaji semifinishing kwasasa ina umeme tayari
#Maji dawasco yapo
# 300 metres from bagamoyo road ( africana)
#Legal documents are available
#Contact 0759059431watsap; 0714865256 kwa picha zaidi na mawasiliano ( nb utawasiliana na muuzaji directly)
#Dalali haitajiki
0714 865256
IMG_20160309_121519.jpg
IMG_20160309_154427.jpg
IMG_20160309_154546.jpg
IMG_20160309_154546.jpg
 
-PLOT SIZE: 400 SQMTS
-NO.OF ROOMS: 4 BEDROOM
-LEGAL DOCUMENTS AVAILABLE(NO MAGUMASHI)
-LOCATED AT MBEZIBEACH JOGOO 300 METRES FROM AFRICANA BAGAMOYO ROAD
-STATUS ;: SEMIFINISHED HOUSE / TO RENOVATE
ELECTRICITY IS ALREADY INSTALLED
-PRICE 100 MILLIONS TSHS
-CONTACT THE SELLER DIRECTLY @0714865256:0759059431
-SERIOUS BUYERS; DALALI HAITAJIKI
 
-PLOT SIZE: 400 SQMTS
-NO.OF ROOMS: 4 BEDROOM
-LEGAL DOCUMENTS AVAILABLE(NO MAGUMASHI)
-LOCATED AT MBEZIBEACH JOGOO 300 METRES FROM AFRICANA BAGAMOYO ROAD
-STATUS ;: SEMIFINISHED HOUSE / TO RENOVATE
ELECTRICITY IS ALREADY INSTALLED
-PRICE 100 MILLIONS TSHS
-CONTACT THE SELLER DIRECTLY @0714865256:0759059431
-SERIOUS BUYERS; DALALI HAITAJIKI
 
nyumba IPO mbezi beach kljogoo 300 meters from africana bagamoyo road
#Legal documents available
#Eneo la kiwanja 400 sqmts
#inahitaji semifinishing kwasasa ina umeme
#maji ya dawasco yapo
#contact the buyer directly @0759059431watsap ; 0714865256
#price 100 millions Tshs
#Dalali HAITAJIKI
#legal documents available
Kwa usawa Huu wa JPM utasuburi sana
 
Kwanza wewe mwenyewe Dalali,nimeangalia profile yako nimeona unauza nyumba kibaoo mpaka mbezi jogoo huko.
Sasa unajifanya unaweka number eti ya mmiliki Direct kumbe yako mwenyewe,acha uhuni wa kizamani.
We dalali gani ataweka number ya mmiliki moja kwa moja,ili akose mgao,huu mchezo mmekuwa mkifanya madalali wengi na ndio style yenu mpya,ya Dalali hatakiwi na number ya mmiliki hii hapa.Wakati number ya dalali.

Shirikiana na madalali wenzio,ili ukiuza mnagawa mgao,hizi tamaa ndio mwisho wa siku mteja anaenda moja kwa moja mtaani kwenye serikali za mtaa na picha,na kuonyeshwa nyumba na mmiliki moja kwa moja kwa usumbufu na ujanja ujanja wa matangazo ya namna hii.
Madalali wenzenu huko mbele huwa wanajivunia hasaa kujjisema kwamba wao ni Madalali,na wanafanya biashara saana tu kwa kupitia udalali.
Kuhusu Nyumba:-
Kwanza sema unauza kiwanja chenye banda na sio kusemaa nyumba.
Maana eneo hilo inaokeana lina maji,nandio maana tofali za chini zimesagika na zinalika.
100m sio mchezo mkuu kwenye nyumba iliyomo kwenye kiwanja cha 20m x 20m

-Tafuta madalali,la sivyo utakaa nayo saaaaaaaana,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom