Nakodisha Garmin etrex 10 (mashine ya GPS)

Oct 12, 2014
78
48
Nakodisha Garmin etrex 10 (mashine ya GPS). Pia ina uwezo wa kucalculate eneo lako na uwezo wa kukupa direction sahihi kama unaelekea maeneo ya porini ambayo unahisi unaweza kupotea (Inakupa direction ya eneo ulipoanzia so hautoweza kupotea).

Inakodishwa kwa T.Shs. 50,000.

Kama unahitaji; Tafadhali wasiliana na namba ifuatayo:

+255 626 911 506
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom