Natafuta CNC machine

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Ninataka kuchonga kifaa cha machine naomba yoyote anayejua hizi machine ziko wapi anitaarifu
 
Chuma but machine iwe computerized I mean CNC

Ndiyo, mashine ya kukatia ni cnc.....! na una maaanisha kinachotaka kukatwa na hiyo mashine ni material ya chuma......! basi nenda chuo kikuu cha dar upande wa eng, onana na mtu anaitwa Philip John, au mpigie kwa 0754265436
 
ok napajua but last time nilienda walikuwa wanazo za manual nataka computerized
 
ok napajua but last time nilienda walikuwa wanazo za manual nataka computerized


Last time lini?

Mbona unaelekezwa unabisha mkuu?

Embu mpigie huyo jamaa akuelezee!

Kwani kuna cnc ambayo sio computerized?

wao wana karibu aina mbili au tatu, ikiwepo inayotumia laser!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom