Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanajf!! Ninatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya makazi, kwani nimehamishiwa hapa Arumeru, Arusha. Nyumba iwe ya vyumba vitatu (kimoja kiwe master bedroom) vya kulala, sitting, dining etc...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa www.jamiiforums.com Nimepata uhamisho, kuelekea Arumeru. Ofisi yangu ipo mitaa ya Leganga Natafuta nyumba, mwenye access na nyumba ya kupangisha ktk mitaa ya Leganga, mjimwema...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Wadau amani iwe kwenu Nahitaji kumnunulia shemeji yenu gari hata kama ni ya kumvua mtu, budget yangu ni ndogo ndio maana nahitaji ya mkononi Nahitaji passo au vits au swift au toyota ist, hivyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
- Napenda kuwafahamisha my people here kwamba as a part of Celebrations ya my Social Media Company kutimiza miaka 3, tutakuwa na Semina maalum ya "KUZALIWA MASIKINI SIO ADHABU YA KIFO" ambayo...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
wakuuu rejeen kwenye kichwa cha habari. nyumba ya vyumba viwili,jiko na sebule. iwe na fence na maji yawepo.itapendeza ikiwa na tiles na sliding windows. budget yangu ni 200000 mpaka 250000...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bandugu gear box yangu inapoingia namba mbili gari inastuka kwa nguvu hivi then gear zingine zipo ok, tatizo hili linaweza shughulikiwa au nitafute nyingine tu ,whatapp 0743480892
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Gari iko mpya kabisa shida za hapa na pale ndio zmesumbua...bei milion 8.5, napatikana dsm kwa namba 0713806766.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji muuzaji wa uhakika wa gari ya aina hiyo, namba kuanzia C, D. Iwe haijagongwa wala kupigwa rangi, Injini iwe ktk hali nzuri, Milleage haizingatiwi sana.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau nahitaji HP Pavilion original ya US. Napenda iwe na sifa zifuatazo Memory angalau GB 4 na kuendelea HD angalau 500 GB Processor iwe COREi 3 ama latest zaidi Iwe rangi yoyote ila kama...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Anti-theft Padlock Sound Alarm Lock Security With Key This alarm lock combines locking with alarming function. It is a good tool for you to protect your properties. It has low false alarm...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wazee habari. Nataka kununua Brevis yenye namba D, isiwe nyeupe na haijawahi pata ajali yoyote. Kama kuna mwenye nayo anifahamishe. Bei isizidi 8,000,000/=
0 Reactions
30 Replies
7K Views
ram 2gb hdd 320 dual core 3g camera size 14.1 wifi bluetooth window 8 betre 3hrs 380000 0712191251
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Fahamu jinsi ya kurecord screen yako ya android kwa kutumia app ya bure. hii itakusaidia akurecord gem ama kutengeza tutorial
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mahali-Kitonga(karibu na Msongola) Dar es salaam Umbali-1.3km kutoka barabara ya chanika....gari inafika Ukubwa-16mx14m Vina mikataba safi ya mauziano kutoka serikali ya mtaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi na mabwana,mie ni kijana mwenye taaluma ya Ufundi wa umeme wa majumbani,nafanya kazi zifuatazo -kufanya wiring katika nyumba ndogo mpaka ghorofa. -Kulekebisha hitilafu au shoti...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Imeshapangishwa. Asanteni wadau
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iwe Portable Niende Nayo Kwenye mishe zangu bila Shida Yoyote! Niko Dar Es Salaam kama Unayo Piga Namba 07182 95 182 Jigo
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Nauza lain ya mpesa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta kuingia katika biashara na Kampuni iliyo safi ya Kukodisha Magari, nataka tufanye wote hii biashara pamoja. Tuwasiliane Tafadhali +255769711544
0 Reactions
3 Replies
1K Views
G
0 Reactions
4 Replies
816 Views
Back
Top Bottom