Benz New Model inauzwa

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,298
Make : MERCEDES

Model : C200

Mileage : 90,000km

Engine size : 1790 cc

Drive : 2WD

Steering : Right

Transmission : Automatic

Color : WHITE

Manufactured year/ :
2009/5

Fuel : Gasoline/petrol

Door : 4

Seat : 5

OPTIONS

* AirBAG * Alloy Wheels * FOG * HID * NAVIGATION B-MONITOR *

STEREO

* IN-DASH NaVIGATION TV * CD * RADIO

Price : Tshs 42,400,000/=

Bei Imejumlisha

Ushuru pamoja na usajiri wote wa gari ✅

Contacts :

ecarstanzania@gmail.com
 
Attachments

  • IMG_20160307_000739.jpg
    IMG_20160307_000739.jpg
    26.3 KB · Views: 110
  • IMG_20160307_001158.jpg
    IMG_20160307_001158.jpg
    27.7 KB · Views: 123
. . .Kwa tanzania, na kwa asilimia kubwa ya watanzania, gari kuanzia 2005 hua wanaita "new model" kwa maana hio ndio maana hata hii benz nikasema ni "new model" ili.kwenda sambamba na wale ndugu ambao huita hivyo (ili isiwachanganye)
Ila hata hivyo, hatuwezi kuiita hii model ya 2009 old model sana kama ya 2000

Sababu bado.ina thamani!!

MAGARI7
 
Mkuu nahitaji Prado TX ya 1996/1997 injini 1kz iwe na intercooler itumie diesel kama ipo
 
Saju b : Ahsante sana kaka kwa compliment, shukrani sana! Ahsante kwa kuutambua mchango wangu kaka!!

Sikuzote biashara inahitaji uwe mpole, mfanyabiashara ni sawa na mwalimu darasani, ukiwa mkali wanafunzi hawatakuelewa bali watakua na uoga na wewe badala yake darasa lako litakua la mwisho kila siku.

Ukiwa mkali kwenye biashara, wateja wataogopa hata kukuuliza swali kwakile ambacho labda wanakua hawajaelewa basi utajikuta unapoteza wateja kila mara.

Lakini mwalimu awapo mpole, wanafunzi huwa.na confidence na wanaelewa kwa wepesi kabisa maana.wanakua hawana uoga.

Ndio sawa na kwenye biashara, uwapo mpole, wateja huelewa bidhaa upesi zaidi kwa maana wanakua huru kuuliza kila kitu bila uwoga wowote ule kuhusu bidhaa inayouzwa na kufafanuliwa kama wanavyo hitaji.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Munawar, unakitu cha kujifunza kutoka kwa huyu muuza magari mwenzako, anaweka full details na Anajibu wateja vizuri, wewe siku hizi unaona aibu hata kupost humu kutokana na jeuri yako

Story nyingi sana ni kawaida yako !!!
 
. . .Kwa tanzania, na kwa asilimia kubwa ya watanzania, gari kuanzia 2005 hua wanaita "new model" kwa maana hio ndio maana hata hii benz nikasema ni "new model" ili.kwenda sambamba na wale ndugu ambao huita hivyo (ili isiwachanganye)
Ila hata hivyo, hatuwezi kuiita hii model ya 2009 old model sana kama ya 2000

Sababu bado.ina thamani!!

MAGARI7
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.

Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    22 KB · Views: 71
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.

Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.
Vijana mna mbwembwe mpaka basi....hhaaaaaaaaaa
 
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako wa
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.

Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.

tarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.

Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.

Sawa, sasa kwahio unataka kusema hii ya 2009 tunaiweka category moja na 2002 na kurudi nyuma sindio.?!
 
Chifu, kama ni mtu wa kuelewa unapaswa kuwa umeshaelewa hoja yangu. Ondoa hilo neno 'new model' kwenye tangazo lako.

Sema ni Benz model ya mwaka 2009. Na ndiyo zote zipo kwenye category moja, 'old C class models'. Ila moja ni older than the other tu.
 
"Nzi, post: 15537018, member: 28900"]Siyo mbwembwe chifu. Jamaa anatumia marketing strategy ya kitapeli. Na nimeshindwa kuvumilia kubaki kimya nilipoona tangazo.[/QUOTE]
MArketing strategy yakitapeli.?? Nimekutapeli ninisasa.?!
 
Chifu, kama ni mtu wa kuelewa unapaswa kuwa umeshaelewa hoja yangu. Ondoa hilo neno 'new model' kwenye tangazo lako.

Sema ni Benz model ya mwaka 2009. Na ndiyo zote zipo kwenye category moja, 'old C class models'. Ila moja ni older than the other tu.

Sawa, lakini sijaona mantiki ya kuanza kubishana kwenye jambo ambalo liko wazi kabisa.

Hii benz bado itabaki kuitwa ni new model pia na wala haibadiliki, kwa sababu bado ina thamani tofauti na model zake za nyuma zilizopita.
 
Huyu nzi tatizo lake mjuaji sana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom