Nauza ipad 1 3G inatumia line,GB 16
HAINA CAMERA
BEI LAKI 2 TUUU
NICHEKI 0655 44 44 40
Nauza HDD 1T
BEI elfu 80 TUU
PIA IPO HP DV 2000
USED NA INA UDHAIFU KIASI NA INAFANYA KAZI
BEI LAKI 2...
A US$700m landmark finance deal struck by Etihad Airways Partners (EAP) to fund expansion has been recognised by the prestigious market intelligence organisation International Financing Review...
Habarini jamani nahitaji msumeno mdogo ule wa umeme. Mara nyingi wanatumia kukatia mbao ndogo ndogo ili kuweka maua. Mwenye nao aweke bei tufanye biashara uwe mzima
Niina galaxy note3 ipo njema but kwa bahati mbaya juzi kati imenyofoka kile kiplastiki cha ku protect camera na flash kwa nyuma nilipokuwa nikifungua mfuniko wake wa nyuma. Mbaya zaidi kilivunjika...
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya vetenary temeke.Ina
1.master room moja
2.guests rooms mbili
3.sebule/seating room moja
4.jiko
5.public toilet ya ndani
6.public toilet ya nje
7.visima vya maji viwili...
Kiwanja kinauzwa Forest ya Zamani jirani na chuo cha Mzumbe, Mbeya Tshs. 60m. Bei inazungumzika.
Kwa mawasiliano, wasiliana nami 0754060350,0716252818.
Wadau nina TV ambayo mtoto aliiangusha hivyo wino ulivuja. Kwa Fundi anayehitaji au MTU yeyote anayeweza kuhiitaji kuitengeneza au spare zake, anitafute. Bei 250.
Niko Temeke, no: 0769630209...
Ndugu, viwanja viwili vipo nyuma ya Uporoto hapo Dar vilivyoungana. Kila kiwanja kina nyumba ambayo ina room tatu, sebule na choo na jiko. Kila kiwanja kina mita ya miraba elfu nne na kina hati ya...
Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za...