Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,062
- 299
Nyumba au kiwanja: Kiwe maeneo ya Makonga Juu, Goba kuelekea Bagamoyo mwisho Tegeta. Kiwanja lazima kiwe na ukubwa wa 1000 square meters na hati. Bajeti iliyotengwa kwa manunuzi ya kiwanja Tshs 100mil. Bajeti iliyotengwa kwa manunuzi ya nyumba Tshs 200-300mil. Tuwasiliane kwa ukaguzi piga simu au niachie ujumbe whatsapp 0784225000