Msaada: Mganga maarufu wilayani Mbinga

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana
 
Kuna mchawi mmoja yupo huku Arusha anaitwa Mama Sakwanyaa.
 
Back
Top Bottom