B Babu Kijana JF-Expert Member Jan 24, 2013 587 276 Apr 13, 2016 #1 Iwe na uwezo wa kuprint A4 size na chini ya hapo. Mwenye nayo ani-pm
B Babu Kijana JF-Expert Member Jan 24, 2013 587 276 Apr 14, 2016 Thread starter #3 Backtown said: Ipo ninayo Click to expand... aina gani? na sh ngapi?
ymollel JF-Expert Member Aug 23, 2012 3,096 2,286 Apr 14, 2016 #4 Nipe kazi nikuprintie, siuzi printer yangu
Backtown Member Jan 17, 2016 8 3 Apr 15, 2016 #5 Hp ina print kuscan na kupiga photocopy.kama unahitaji ni tsh 150000
K kibila JF-Expert Member Sep 23, 2014 783 528 Apr 15, 2016 #6 Nenda dukani kuna mpaka za laki moja.3in1