Mabwawa ya Samaki Yanauzwa / Fish Ponds for Sale

Ban

Member
Apr 6, 2012
83
48
Mabwawa yako matatu. Yana jumla ukubwa wa mita za mraba 4500.
Yana uwezo wa kufuga samaki 45,000.
Mahali: Wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza
Kilomita 2 kutoka Barabara ya Mwanza - Musoma kuelekea Ziwani
Eneo lote lina jumla ya ekari (Acre) 2, Kuna nyumba ya mfanyakazi (chumba 1 na sebule).

Yako kwenye mazingira mazuri namaji ya kutosha.

Bei ni maelewano baada ya kufika na kuona.

Kwa taarifa zaidi Tuwasiliane: 0756 00 33 86
=====================================================
 
Nakuja kuona hyo next week.nimesafili to Arusha na nitarudi j3 Mwanza
 
Back
Top Bottom