Natafuta Laptop aina ya HP Envy dv7t-7200, 17.3" Display

Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
274
195
Natafuta HP Envy dv7t-7200 Quad Edition Ivy Bridge Quad Core i7-3630QM, 8GB RAM, Blu-ray, Windows 8
Intel Core i7 - 8GB RAM - 750GB Storage - 17.3" Display - Blu-Ray
kwa ajili ya kununua.
Mwenye Laptop yenye hizo specifications ani PM bei yake tufanye biashara.
 
Dec 1, 2010
68
0
Mkuu, Laptop unayotaka huwezi kuipata hapo Dar, ina vikorombwezo vingi mno. Kwenye soko la dunia tunapata hii hapa:-

HP ENVY dv7t-7200 Select Edition 17.3" Notebook - Customized,
kutoka Mexico kwa Dola $790.00 na utaichukulia Dar. Kama uko serious basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara.
 
NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
862
500
Mkuu, Laptop unayotaka huwezi kuipata hapo Dar, ina vikorombwezo vingi mno. Kwenye soko la dunia tunapata hii hapa:-

HP ENVY dv7t-7200 Select Edition 17.3" Notebook - Customized,
kutoka Mexico kwa Dola $790.00 na utaichukulia Dar. Kama uko serious basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara.

Ndugu mimi pia niko kutayari kama mtaingiza mzigo nitalipia na kuchukua moja.
 
Dec 1, 2010
68
0
Nextleve nadhani hauko tayari. Kama ungekuwa tayari ungekuwa umeshatuandikia kwenye e-mail yetu ili tuanze mahusiano ya kibiashara, wewe utufahamu sisi, na sisi tukufahamu wewe ili tuwekeane mikataba na kisha tunakuagizia. Kupitia humu humu jamvini, hatuwezi kuagiza maana hatukufahamu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom