LadyV
Member
- May 6, 2010
- 48
- 20
Habari Wana JF!
Kwakweli nafurahia sana kusoma JF tangu nijiunge na inafurahisha.
Leo naomba muongozo kidogo, nataka kutengeneza mafuta ya kupaka mwilini i.e. lotion na cream, je ntapata wapi vitu vya kutengenezea kama mafuta halisia (as in natural undiluted) ya Mlozi (almond), moringa, grapeseed, cocoa butter block na mawese?
Ntashukuru sana kwa msaada wowote ule.