Nitapata wapi vitu vya kutengeneza kama mafuta halisi?

LadyV

Member
May 6, 2010
48
20
Habari wana JF,

Kwakweli na furaha sana kusoma JF tangu nijiunge na inafurahisha sana. Leo naomba muongozo kidogo. Nataka kutengeneza mafuta ya kupaka mwili kama lotion na cream, je ntapata wapi vitu vya kutengeneza kama mafuta hali sia (natural undiluted) ya Mlozi (almond), moringa, cocoa butter block Mawese?

Ntashukuru sana kwa msaada wowote.
 
Back
Top Bottom