Nyumba inapangishwa Mbezi ya Kimara

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Wakuu habari za jioni,

Nina nyumba yangu napangisha maeneo ya mbezi ya kimara, njia ya mpigi magohe, karibu na maeneo wanaita kwa mbunge. Hii nyumba ni vyumba vitatu, sitting, dining, jiko.Chumba kimoja master, vingine viwili vinashare. Bei ni 250,000Tsh. Aliyetayari anakaribishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom