Ajira Yangu Business Plan Competition kwa Vijana wenye umri wa miaka 18-35

dalaber

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
1,806
1,646
Baraza LA Uwezeshaji Tanzania NEEC limezindua mpango wa kuwawezesha vijana ambao wanaweza kuandika business plan kwa sekta mbalimbali na baada ya hapo kuwawezesha vijana wote ambao watakuwa wamekidhi vigezo kwenye swala zima la mitaji na ulezi katika biashara,lengo ni kuwakomboa vijana katika dimbwi kubwa la umasikini.

Maombi yanapokelewa kuanzia 18 April -09 Mei, 2016. Kwa Maelezo zaidi ili ujue nini cha kufanya tembelea www.uwezeshaji.go.tz

Kazi ni kwako, usiseme hamna fursa
Ajira%20Yangu%20Adverts%20flyer.png
 
Back
Top Bottom