Benjamin mathayo
Senior Member
- Mar 6, 2016
- 112
- 29
Wakuu hizi nimashine za kuponda kokoto nimezitafuta mitandaoni nikapata aina hizi kuwa zinatengenezwa China hivyo nimewaletea picha hizi ili mwenye kufahamu wapi zinauzwa hapa inchini aweze kuniambia maana nimeplan kuanzia kabiashara ka kuponda kokoto za kujengea niwe nawauzia watu pia mwenye ushauri zaidi naomba anisaidie.