Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza TV singsung inch 24 haina kitako chake ni yakutundika ukutani tuu bei 300,000
0 Reactions
4 Replies
3K Views
GALI TAJWA IKO SOKONI NAMBA C CC 1800 KM 95000 IKO KATIKA HARI NZURI SANA BEI 6.5M(MAZUNGUMZO YAPO) PIGA 0783380123
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu jamaa na marafiki , , , natafuta TV mtumba pamoja na deki yake, dau kama nilivyotoa muongozo hapo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tv aina ya logick Nchi 32 ya chogo kwa nyuma kioo n flat hakina chogo na stand yake 250,000 0656 43 66 62
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu ina sifa zifuatazo *camera zote Ya nyuma ina 5mpxs with flashlight Na ya mbele ina 2mpxf Simu ni single line Inaingza lain ya mtandao wowote Rangi ya simu ni nyeus Nakupatia vyote vyake yaan...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Natumai mpo wazima wote, nahitaji maharage ya kijani yanaitwa Green Mung Beans,kama unayo tafadhali nitajie bei kwa Metric Tonne ,na sehemu ambako upo na hayo maharage,na uwezo wako wa kuweza ku-...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kwa matumizi mbali mbali ya nywele, kukuza, kujaza, kukatika tumia bidhaa nzuri kwa nywele zako zikiwemo shampoo, conditioner, serum, mafuta n.k Nicheki kwa 0717 343635 kwa oda/ ushauri / kuanza...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari ya majukumu wakuu? Naiamini jamii forums kwa ideas na michango ya hali na mali kutoka kwa wadau. Huwezi kukosa majibu ukiwa hapa jf. Naweza kupata wapi karatasi zenye material ya manila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa moshi na arusha ni bei gani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naweza pata nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe keko ilala buguruni kigambon mwenge sinza kijitonyama au eneo ambalo naweza fika posta kwa urahisi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni aina ya SPACIO namba B!! Iko kwenye good codition bei maelewano!! Ipo mwanza tanzania: ni pim kwa maelezo zaid!!!
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Heka moja, Tangaza raha Chanika. Kinahitaji 7.8 million. Hakuna dalali.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Seeing is believing! *viewing advised** This house comprises of study/Tv room, living room, dining room, kitchen, store and three en suites. If you don't want to take a car every time you head off...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi guys..kwa wale wapenz wa ujasiriamali..wenye alerg na.umasikin..wapenda chapaa..wabunifu..wanaopenda kujiajiri wwnyewe..karibu sana ndan ya rock city.mwanza.GOLDCREST HOTEL tar 17.4.16 saa 9...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
- Nabadilisha mikanda/tape za vhs kwenda mfumo wa digital yani kuziweka kwenye memory au dvd e.g. mikanda ya maharusi, vipaimara, etc (vhs tapes to modern digital video conversion...store in...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Duka la vipodozi linauzwa liko tabata relini ni sehemu nzuri na ni barabarani kabisa.anayehitaji anipm.being n 5M namuachia kila kitu na kodi imelipwa mwaka mzima.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu wa nchi natafuta Gari ndogo kwa ajili ya shughuli zangu binafsi kama Kuna mtu anayeuza kati ya hizi Gari please let me know please contact 0752027966.au kama nikipata Vitz au starlet...
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Wadau natafuta laini hizo nilizitaja hapo juu!!! Ili biashara iwe nyepesi napenda zaidi uwe unapstikana mtwara mjini.... Unaweza nipata kutumia namba 0762036146 ili tuongee biashara!!!
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Natafuta galaxy note 3 original, ikiwa mpya au used sio shida ila iwe katika hali ya kuridhisha kiasi cha kunishawishi kukutunukia kiasi cha tshs tembo 40 chap chap (400k), naihitaji leo kabla...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
1. Nyumba Vyumba2, Sebule, Choo ndani na Jiko. Bei laki4/Mwezi, kodi ya Miezi6. Ipo MbeziBeach Tankibovu. Mawasiliano: 0713226191
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Back
Top Bottom