Toyota Carina Ti inauzwa

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
whats up Jf membr
1. Nauza gari yenye maelezo yafuatayo
a. Jina : Toyota
b. Model : Carina Ti
c. Muundo : Saloon
d. Ukubwa wa injini: 1500
e. Rangi : nyeupe
g. Mfumo: moja kwa moja
h. Mwaka wa kutengenezwa: 2000

2. Vibali
Vibali vyote vipo hai

3. Hali ya gari
Gari ina hali nzuri sana

4. Mahali ilipo
Dar Es Salaam

5. Bei
Tsh 8.5mil, uwanja wa mazungumzo upo wazi

4. Mawasiliano
Simu: 0765363641 au 0659211222
Barua pepe: biasharaTz@outlook.com

Picha
1460726212119.jpg

1460726248442.jpg
1460726266222.jpg
1460726293719.jpg
 
whats up Jf membr
1. Nauza gari yenye maelezo yafuatayo
a. Jina : Toyota
b. Model : Carina Ti
c. Muundo : Saloon
d. Ukubwa wa injini: 1500
e. Rangi : nyeupe
g. Mfumo: moja kwa moja
h. Mwaka wa kutengenezwa: 2000

2. Vibali
Vibali vyote vipo hai

3. Hali ya gari
Gari ina hali nzuri sana

4. Mahali ilipo
Dar Es Salaam

5. Bei
Tsh 8.5mil, uwanja wa mazungumzo upo wazi

4. Mawasiliano
Simu: 0765363641 au 0659211222
Barua pepe: biasharaTz@outlook.com

Picha
View attachment 338671
View attachment 338672View attachment 338673View attachment 338674

Kwanini unaiuza mkuu,ama ina tatizo....
 
Nadhani ulifeli shule ww!! KILA SWALI LINA MAJIBU!! TOA UJINGA HAPA. HUNA JIBU TULIA
Ndugu yangu nimekuelewesha tu saloon car hazitajwi milango labda miwili au minne lakini sio mitano, mitano utaipata kwenye station wagon.
 
Ndugu yangu nimekuelewesha tu saloon car hazitajwi milango labda miwili au minne lakini sio mitano, mitano utaipata kwenye station wagon.
Uwe unaelewa swali si kuropoka tu!! Hata car search sites zote, Trade Car view, Befoward, autowin, nk lazima wa andike doors.

Huo uelewa wa vijiweni wa kibongo ni wako tu
 
Uwe unaelewa swali si kuropoka tu!! Hata car search sites zote, Trade Car view, Befoward, autowin, nk lazima wa andike doors.

Huo uelewa wa vijiweni wa kibongo ni wako tu
Saloon inajulikana milango ni miwili au minne lakini sio mitano hio utaipata kwenye station wagon cars only. Jaribu kuelewa ndugu yangu.
 
Unajibu au unauliza? Saloon maana yake ni nn? Be specific
Pitia hii link mkuu ya dictionary inaweza ikakusaidia
file:///var/mobile/Containers/Bundle/Application/9185ECBE-1A7C-4E15-939D-87295427CF98/Dictionary.app/saloon
 
Jiongeze wewe, mbona mzito sana kuelemika! Hata buti (trunk) unataka uwe mlango!
Nilijua hujui make huwa mnajifanya waelewa wakati hawajui, wamekariri kama ww!!

British English: saloon car A saloon or a saloon car is a car with seats for four or more people, a fixed roof, and a boot that is separated from the rear seats.

Alternative meaning:

Saloon is nothing but British name of Sedan, Americans call it Sedan.

Americans=Sedan::Saloon=British

Both are identical body-types. Sedans are generally 4-door cars with separate space for luggage, engine and seating. These should accommodate 4 or more people and have fixed roof. These are 3-box cars! You can use the term exchangeable. Call Honda City a sedan or saloon whatever you feel like saying. It really doesn't matter.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom