Habari yenu JF members, nina shida ya 1 million mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Dhamana ninayo kiwanja ila kipo Mwanza kina hati miliki. Please naombeni msaada wenu.
hello guys habari za kwenu nilikuwa natakujua bei ya gari aina fuso used ni sh. ngapi? pia kama kuna dalali anataka tufanye naye kazi anaweza kuwasiliana na mimi no. 0622645536 eneo nipo moshi mjini.
Ni LG original
42'' FLAT SREEN, new model, thickness yake ni zile nyembamba picha za HD inauzwa 750,000/=
Dukani ni 1,3000,000/=
Jamaa anauza sababu alipewa zawadi TV kubwa zaidi ya 51" kwenye...
Chumba seble na choo kuna fance na geti bei yake kodi kwa mwezi mmoja ni sh 150,000 na kiasi hiki unaweza kulipia kuanzia miezi 3,6 au mwaka pia
Maelezo mengine na ukitaka kuiona piga...
Ndugu zangu niko morogoro mjini,nahitaji ng'ombe jike wa kisasa au chotara,awe anakaribia kuweza kupandishwa....ukinitajia na bei itakuwa vizur sn,...maoni na ushauri juu ya mada yanakaribshwa...
Natumai ni wazima,
Wakuu naulizia duka la simu za iphone kwa hapa Dar, kwa sababu kuna wauzaji wengine "unaponunua simu kwao hujihisi comfortable" kwa mfano,
Kuna hawa wauzaj wa iphone kwa bei...
Zuri
Kampuni ya Zuri ilio na makao yake mjini Hong Kong imezindua rasmi simu aina ya Smartphone katika soko la Tanzania.Kampuni hiyo pia imeisajili kampuni ya DESPEC kama msambazaji rasmi wa simu...
wapendwa
Ni simu gani ya badget ya wastani around 300k yenye speed kubwa ...nina maanisha inayoweza kuongea skype bila shida (kama mtandao ni mzuri) na Betrii nzuri pia
Asanteni
The building is now 70 percent complete and on track to be finished in ... When the house is complete, it will be sold for Tshs 300mil. The building have 4 bedrooms, 2 rooms en suite. To view call...
Wengi wamegundua wallpapers ndo mpango
Nyumba inakua na muonekano amazing
Zipo za kutosha sasa tunakufikia mteja wetu
Tuko kwenye seliseli ya week 1 tuuu
Upana 0.53cmx10m=55,000tshs
Jumla...
Habari wasoamji wangu wa nguvu. Website ya M and K PUBLISHERS sasa ipo hewani na tayari kwa kutoa huduma na burudani kwa wasomaji wetu.(Story Za Eddy/Story Za Kway)
*
*
Tumeamua kutengeneza...